Kisagalla

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kisagalla ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wasagalla. Isichanganywe na lugha ya Kisagara nchini Tanzania. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kisagalla imehesabiwa kuwa watu 100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisagalla iko katika kundi la E70.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisagalla kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads