Kisamatao
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kisamatao ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wayi. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisamatao imehesabiwa kuwa watu 400, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisamatao iko katika kundi la Kingwi.
Viungo vya nje
- lugha ya Kisamatao kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisamatao
- lugha ya Kisamatao katika Glottolog
- lugha ya Kisamatao kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisamatao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads