Kisunwar

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kisunwar ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal inayozungumzwa na Wasunwar. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kisunwar imehesabiwa kuwa watu 38,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisunwar iko katika kundi la Kihimalaya.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisunwar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads