Kitana
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kitana ni kifaa kinachotumika kutana nywele. Kuna aina nyingi za vitana: kuna kitana kikubwa kwa ajili ya nywele ndefu, na kidogo kwa ajili ya nywele fupi na cha saizi ya kati. Siku hizi mara nyingi kitana huwa ni cha plastiki.
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |


Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads