Kitinani
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kitinani ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Watinani. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kitinani nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 22,600. Pia kuna wasemaji 450 nchini Uchina (1977). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kitinani iko katika kundi la Kikinauri.
Viungo vya nje
- lugha ya Kitinani kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kitinani
- lugha ya Kitinani katika Glottolog
- lugha ya Kitinani kwenye Ethnologue
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kitinani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads