Kiyawuru

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kiyawuru
Remove ads

Kiyawuru ilikuwa lugha ya asili nchini Australia iliyozungumzwa na Wayawuru katika jimbo la Australia ya Magharibi. Mwaka wa 2007, wataalamu walitoa maoni ya kuwa hakuna wasemaji wa Kiyawuru ambao wamebaki kuzungumza lugha, yaani lugha imetoweka. Wengine lakini walidai kwamba Wayawuru wengine bado hukumbuka lugha yao na labda kuna wasemaji wawili. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiyawuru kiko katika kundi la Kinyulnyulan.

Thumb
Maeneo ya lugha za asili karibu na mji wa Derby, pamoja na Kiyawuru (buluu nyeusi)
Remove ads

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiyawuru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads