Koichi Tanaka

From Wikipedia, the free encyclopedia

Koichi Tanaka
Remove ads

Koichi Tanaka (amezaliwa 3 Agosti 1959) ni mwanakemia kutoka nchi ya Japani. Hasa aliendeleza njia na mbinu za spektrometria. Mwaka wa 2002, pamoja na Kurt Wüthrich na John Fenn alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Koichi Tanaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Koichi Tanaka
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads