Koko wa Japani

From Wikipedia, the free encyclopedia

Koko wa Japani
Remove ads

Koko (830 26 Agosti, 887) alikuwa mfalme mkuu wa 58 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tokiyatsu, na alikuwa mwana wa tatu wa Tenno Ninmyo. Mwaka wa 884 alimfuata Tenno Yozei aliyekuwa amepoteza akili, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata kama Tenno ni mwana wake, Uda.

Thumb
Mchoro wa Koko

Angalia pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Koko wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads