Kokoto

From Wikipedia, the free encyclopedia

Kokoto
Remove ads

Kokoto ni vipande vidogovidogo vya mawe makubwa au miamba.

Thumb
Kokoto za milimita 20.

Kokoto hupatikana baada ya kupasuliwa kwa miamba hiyo. Mara nyingi kokoto hupatikana kwa njia asilia hasa kama mashapo katika njia ya mto.

Kwa mahitaji ya ujenzi kokoto hutengenezwa pia kwa kutumia mitambo. Kumegawanyika katika sehemu mbalimbali: baadhi ya njia hizo ni upasuaji wa kutumia nyundo au mashine ya kuvunja.

Kokoto zinatumika kwa wingi pamoja na sementi katika ujenzi wa barabara, nyumba n.k.

Remove ads

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kokoto kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads