Kosa

ukarasa wa maana wa Wikimedia From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Kosa ni kitendo au hali ya kufanya jambo kinyume na lilivyotakiwa; kutofanya sawa au kwa usahihi. Linaweza kuwa uhalifu mdogo au mkubwa kwa kuvunja sheria au kanuni. Hapo katika maadili na hasa dini linaweza kuitwa dhambi. Linaweza kuwa pia kutofanikisha jambo kutokana na upungufu wa uelewa au makusudi.

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads