Krakov
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Krakov (kwa lugha ya Kipolandi: Kraków, Kiingereza: Cracow, Kilatini: Cracovia) ni mji wa Polandi. Mji huo ulikuwa na watu 759,144 mwaka wa 2014.[1] [2] Krakov ilikuwa mji mkuu wa Polandi kuanzia mwaka wa 1038 hadi 1596.

Remove ads
Viungo vya nje
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads