Kumi na tano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Kumi na tano ni namba inayoandikwa 15 kwa tarakimu za kawaida na XV kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 14 na kutangulia 16.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 3 x 5.
Matumizi
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads