Leymah Gbowee

Mwanaharakati wa Amani nchini Liberia. From Wikipedia, the free encyclopedia

Leymah Gbowee
Remove ads

Leymah Gbowee (amezaliwa 1 Februari, 1972) ni mwanaharakati wa amani kutoka nchi ya Liberia. Mwaka wa 2011, pamoja na Ellen Johnson Sirleaf na Tawakel Karman alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leymah Gbowee kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Gbowee (2011)
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads