Lhasa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Lhasa
Remove ads

Lhasa ni mji mkuu wa Tibet ya kihistoria na pia ya Mkoa wa kujitawala wa Tibet katika China. Kati ya wakazi wake 474,490 idadi kubwa, yaani 387,124 walikuwa Watibet, wengine Wachina.

Ukweli wa haraka Mkoa wa kujitawala, - Wakazi kwa ujumla ...
Remove ads

Marejeo

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads