Liam Neeson
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
William John "Liam" Neeson (amezaliwa 7 Juni 1952) ni mwigizaji wa filamu wa Ireland.
Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Oskar Schindler kwenye filamu ya Schindler's List, Michael Collins kwenye filamu ya Michael Collins, Qui-Gon Jinn kwenye mfululizo wa filamu ya Star Wars Episode I: The Phantom Menace na Aslan kwenye mfululizo wa filamu za The Chronicles of Narnia.
Pia, amepata kucheza kwenye filamu nyingine maarufu sana kama vile Darkman, Rob Roy, Kingdom of Heaven, Batman Begins na Taken. Amecheza wahusika kadhaa wanaohusiana na watu wa kweli. Wahusika hao ni pamoja na Oskar Schindler, Michael Collins na Alfred Kinsey.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads