Licinius
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Licinius (263 hivi - 325) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma pamoja na Galerius na Maximinus II kuanzia 308 hadi 324.

Alimfuata Severus II akafuatwa na Konstantino Mkuu.
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Licinius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads