Luapula
mto katika Afrika ya kati From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Luapula ni sehemu ya mto mrefu zaidi, wa pili barani Afrika, mto Kongo. Ni mto wa kimataifa unaounda kwa karibu urefu wake wote sehemu ya mpaka kati ya Zambia na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Inajiunga na Ziwa Bangweulu (Zambia) na Ziwa Mweru (iliyoshirikiwa kati ya nchi hizo mbili) na inatoa jina lake kwa Mkoa wa Luapula wa Zambia.

Remove ads
Tazama pia
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Luapula kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads