Lugha za Kiturki

From Wikipedia, the free encyclopedia

Lugha za Kiturki
Remove ads

Lugha za Kiturki ni kundi la lugha zaidi ya 30 zinazozungumzwa kutoka Ulaya ya Mashariki hadi Asia ya Kati na watu milioni 210. Zinahesabiwa kuwa sehemu za lugha za Kialtai pamoja na Kichina, Kimongolia, Kijapani na Kikorea. Wasemaji wa lugha za Kiturki husikizana kwa kiasi kikubwa. Lugha ya Kiturki inayojulikana zaidi kimataifa pia yenye wasemaji wengi ni Kituruki cha Uturuki.

Thumb
Usambaji wa lugha za Kiturki katia Asia

Asili ya wasemaji wa lugha za Kiturki inadhaniwa kuwa sehemu za Mongolia. Kati ya karne za 6 hadi 10 walisambaa hadi Asia ya Magharibi na baada ya kutwaa Milki ya Bizanti waliingia pia katika Ulaya ya kusini-mashariki.

Remove ads

Lugha za Kiturki zenye wasemaji wengi

Lugha tatu kubwa za kundi hili ni

Lugha za Kiturki zenye wasemaji zaidi ya milioni moja:

  • Kikazakhi   wasemaji milioni 11 nchini Kazakhstan, Uzbekistan, China, Urusi
  • Kiuiguri   wasemaji milioni 8 hasa katika Shinjiang (China ya Magharibi)
  • Kiturkmeni   wasemaji milioni 6.8 Mio katika Turkmenistan na kaskazini ya Uajemi
  • Kikirgizi   wasemaji milioni 3.7 Kyrgystan, Kazakhstan, China ya Magharibi
  • Kitshuwashi   wasemaji milioni 1.8 katika Urusi (sehemu ya kiulaya)
  • Kibashkiri   wasemaji milioni 2.2 katika Bashkiria jamhuri ya shirikisho la Urusi
  • Kitartari   wasemaji milioni 1.6 kati ya Urusi ya kati hadi Sibiria
  • Kikashgai   wasemaji milioni 1,5 Mio Sprecher katika majimbo ya Uajemi ya Fars na Khuzistan


Remove ads

Mifano ya maneno ya lugha za Kiturki

Mifano ifuatayo inaonyesha jinsi gani lugha za Kiturki zinavyofanana:

Maelezo zaidi Kiswahili, Kiturki cha Kale ...


Makala hii kuhusu "Lugha za Kiturki" inatumia neno au maneno ambayo si ya kawaida; matumizi yake ni jaribio kwa jambo linalotajwa.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads