Maarifa

From Wikipedia, the free encyclopedia

Maarifa
Remove ads

Maarifa (kutoka neno la Kiarabu; kwa Kiingereza: competence) ni njia inayotumiwa kujitoa katika shida ama kuweza kupata kitu, kwa kutumia elimu au ujuzi. Ujuzi huo unaweza ukawa wa kuzaliwa nao au ukatokana na mang'amuzi ya maisha yakiwa pamoja na kusoma, kusikia au kutenda.

Thumb
mashine ya kupukuchulia mahindi ni maafa ya kurahisisha kazi ngumu ya kupukuchua ma mikono
Thumb
Wanafunzi wakiwa shuleni ili kupata maarifa na elimu

Pia huhusisha ufahamu na uelewa, hususani wa ukweli, kama ulivyofundishwa au kuthibitishwa na Roho Mtakatifu.

Neno hilo linatumika pia kudokeza mbinu za ushirikina katika kufanikisha mambo kadiri ya matakwa ya mtu.

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads