Mabatini (Mbeya mjini)
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mabatini ni kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania.
Eneo la Mabatini liko kati ya kitovu cha kale cha Mbeya na kitovu kipya kwenye eneo la Forest. Soko la Matola pamoja na shule ya sekondari ya Meta ni sehemu ya Mabatini.
Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 6,872 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 7,415 [2] walioishi humo.
Remove ads
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads