Mamlaka
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mamlaka (kutoka Kiarabu; kwa Kiingereza "authority" kutoka neno la Kilatini auctoritas) linaweza kutumika kumaanisha haki ya kisheria ya kutumia nguvu ambayo imetolewa na nchi au vyombo vingine vya serikali kama mahakama, bunge na vyombo vya dola.

Neno mamlaka linapotumika katika mashirika au taasisi, huwa linamaanisha chombo kinachotawala ambacho kimepewa nguvu, kwa mfano: Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Morogoro.
Pia neno mamlaka linaweza kumaanisha haki ya kufanya kitu fulani.
Remove ads
Tanbihi
Marejeo
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads