Mamlaka ya Weusi

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Mamlaka ya Weusi (kwa Kiingereza: Black supremacy au black supremacism) ni itikadi ambayo imejikita katika imani ya kumwezesha au kumhamasisha watu weusi kuwa juu na bora zaidi ya watu wa rangi nyingine hivi kwamba watu weusi waweze kuwashinda watu ambao sio weusi katika nyanja zote yaani uchumi, siasa na jamii.

Kwa baadhi ya wataalamu hilo ni kundi la chuki.

Tazama pia

Viungo vya Nje

Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads