Maonyesho

From Wikipedia, the free encyclopedia

Remove ads

Maonyesho (wingi wa onyesho; pia maonesho) ni tukio au shughuli ambapo vitu, kazi za sanaa, bidhaa, au vipaji huwasilishwa hadharani ili vitazamwe na watu. Pia ni uwakilishaji wa hadithi, hisia, au mawazo kupitia sanaa ya jukwaani kama vile michezo, dansi, au muziki. Tena ni njia ya kuonyesha jambo, wazo, au bidhaa kwa lengo la kuelimisha, kuburudisha, au kutangaza

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maonyesho kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads