Maporomoko
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Maporomoko humaanisha kwa kawaida kuanguka au kuteleza chini cha vitu vilivyokuwa juu zaidi.

Mara nyingi hutumiwa kwa sehemu ambako maji ya mto huporomoka kwenye sehemu ya mtelemko wa ghafla.
Mara nyingi jina hilo linatumiwa pia kutaja mahali ambako maporomoko ya maji hutokea au yalitokea.
Tazama pia
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads