Marcus Aurelius

From Wikipedia, the free encyclopedia

Marcus Aurelius
Remove ads

Marcus Aurelius (26 Aprili 12117 Machi 180) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 8 Machi 161 hadi kifo chake.

Thumb
Sanamu ya Marcus Aurelius akiwa amepanda farasi.
Thumb
Sanamu nyingine ya Marcus Aurelius.

Alimfuata Antoninus Pius. Mpaka 169 alitawala pamoja na Lucius Verus, na kuanzia 177 alitawala pamoja na mwana wake, Commodus.

Tazama pia

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Marcus Aurelius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads