Martin Chalfie

From Wikipedia, the free encyclopedia

Martin Chalfie
Remove ads

Martin Chalfie (amezaliwa 15 Januari 1947) ni mwanakemia kutoka nchini Marekani. Hasa alichunguza sifa za protini fulani. Mwaka wa 2008, pamoja na Osamu Shimomura na Roger Tsien alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Martin Chalfie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Martin Chalfie
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads