Mashindano ya baiskeli

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mashindano ya baiskeli
Remove ads

Mashindano ya baiskeli ni mchezo maarufu katika nchi nyingi duniani unaofanyika kwa namna mbalimbali: kwa siku moja tu au kwa siku kadhaa mfululizo, kwa mtu mmojammoja au kwa vikundi, katika barabara za kawaida, katika njia za mashambani au katika uwanja maalumu, n.k.

Thumb
Mashindano ya Tro-Bro Léon, 2009.

Kwa vyovyote mshindi ni yule aliyendesha baiskeli yake kwa kasi zaidi hadi lengo lililopangwa.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Mashindano ya baiskeli kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads