Max Born

From Wikipedia, the free encyclopedia

Max Born
Remove ads

Max Born (11 Desemba 18825 Januari 1970) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza sifa za mawimbi na kuboresha nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1954, pamoja na Walther Bothe alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Born kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

'

Ukweli wa haraka Amezaliwa, Amefariki ...
Thumb
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads