Max Perutz

From Wikipedia, the free encyclopedia

Max Perutz
Remove ads

Max Ferdinand Perutz (19 Mei 19146 Februari 2002) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Austria. Baadaye alihamia Uingereza. Hasa alichunguza sifa za himoglobini. Mwaka wa 1962, pamoja na John Kendrew alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Max Perutz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Thumb
Thumb
Max Perutz
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads