Wilaya ya Mbeya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Wilaya ya Mbeya ni wilaya mojawapo kati ya 7 za Mkoa wa Mbeya.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 254,897 [1]. Katika sensa ya mwaka 2022 walihesabiwa 371,259 [2].
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads