Uchongaji

From Wikipedia, the free encyclopedia

Uchongaji
Remove ads

Uchongaji ni aina mojawapo ya sanaa ambayo inatengeneza umbo la kupendeza kutokana na vitu rafu, kama vile mawe au mbao.

Thumb
Mfalme Daudi alivyochongwa na Michelangelo katika marumaru labda ni sanamu maarufu zaidi duniani; iko katika Galleria dell'Accademia (Italia).
Thumb
Uchongaji, sehemu ya kigae katika Campanile di Giotto huko Firenze (Italia).

Sanaa hiyo ni ya zamani sana, lakini inazidi kuona njia mpya.

Uchongaji umekuwa wa msingi kwa tamaduni nyingi. Katika karne zilizopita sanamu kubwa za bei ghali ziliundwa kwa ajili ya watu binafsi, kwa kawaida zilikuwa mahususi kwa maonyesho ya dini au siasa.

Tamaduni hizo, ambazo sanamu zake zimesalia kwa wingi, ni pamoja na tamaduni za kale za Mediterania, India na Uchina, na pia nyingi za Amerika ya Kati na Kusini na Afrika.

Remove ads

Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads