Malatya
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Malatya (Kihiti: Melid; Kigiriki: Μαλάτεια, Malateia; Kiarmenia: Մալաթիա, Malatia; Kikurdi: Meletî [1], Kilatini: Melitene) ni mji mkuu wa Jimbo la Malatya huko mkoa Mashariki mwa Anatolia nchini Uturuki.

Takriban watu 381,081 wanaoishi huko (sensa ya 2000). Mji upo mita 954 juu ya usawa wa bahari.
Remove ads
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads