Mhunzi
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mhunzi ni mtu anayechonga vitu vya metali.


Kwa kawaida ashughulika vifaa vya chuma au feleji. Metali hupashwa mto hadi kung'aa nyekundu na kupewa umbo linalotakiwa.
Vyombo vyake ni nyundo, koleo na fuawe.
Siku hizi shughuli nyingi za mhunzi hutekelezwa kwa mashine lakini bado kuna shughuli zinazohitaji ufundi na ujuzi wa mhunzi.
Katika historia wahunzi walihitajiwa sana katika jamii kwa sababu vifaa kama silaha au majembe yalitegemea kazi ya wahunzi.
Remove ads
Marejeo ya nje
- Mhunzi Samburu (Kenya) aeleza kazi yake (video)
- Mhunzi nchini Mali (youtube video)
- Mhunzi Mama huko Uhindini
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mhunzi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads