Mia tano
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mia tano ni namba inayoandikwa 500 kwa tarakimu za kawaida na D kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 499 na kutangulia 501.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 5 x 5 x 5.
Matumizi
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads