Mia tatu
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mia tatu ni namba inayoandikwa 300 kwa tarakimu za kawaida na CCC kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 299 na kutangulia 301.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 3 x 5 x 5.
Matumizi
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads