Mia tisa
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mia tisa ni namba inayoandikwa 900 kwa tarakimu za kawaida na CM kwa zile za Kirumi.
Ni namba asilia inayofuata 899 na kutangulia 901.
Vigawo vyake vya namba tasa ni: 2 x 2 x 3 x 3 x 5 x 5.
Matumizi
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads