Michael Douglas
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Michael Kirk Douglas (amezaliwa tar. 25 Septemba 1944) ni mwigizaji na mtayarishaji filamu wa Kimarekani. Douglas alianza kufahamika zaidi baada ya kuigiza kama Insp. Steve Keller kutoka katika tamthilia ya Streets of San Francisco iliyokuwa inaonyeshwa katika miaka ya 1970. Douglas, baadae akaja kuwa miongoni mwa waigizaji filamu wakubwa kabisa duniani na akabahatika kushinda tuzo ya Academy mnamo mwaka wa 1987 kwa kuigiza filamu ya Wall Street kama mwigizaji bora wa filamu hiyo.
Vilevile Douglas amewahi kuigiza mafilamu mengi tu yenye mafanikio makubwa kabisa. Filamu hizo kama vile Fatal Attraction na Basic Instinct. Douglas ni mtoto wa gwiji la uigizaji duniani bwana Kirk Douglas, na ni mume wa mwigizaji mashughuri Bi. Catherine Zeta-Jones.
Remove ads
Maisha ya awali
Filamu alizoigiza
Remove ads
Marejeo
Viungo vya nje
- Michael Douglas katika Internet Broadway Database
- Michael Douglas at the Internet Movie Database
- Michael Douglas katika TCM Movie Database
- Michael Douglas katika Yahoo! Movies
- Michael Douglas katika TV.com
- Michael Douglas Ilihifadhiwa 21 Agosti 2008 kwenye Wayback Machine. Tovuti siyo rasmi ya Mashabiki
- Michael Douglas Ilihifadhiwa 2 Aprili 2001 kwenye Wayback Machine. Personal Documents Archive at the Wisconsin Historical Society
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads