Mikoa ya Guinea ya Ikweta
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mikoa ya Guinea ya Ikweta inapatikana kwenye kanda mbili za nchi hiyo.
Mikoa mitatu ni sehemu za Kanda la Visiwa (Región Insular) linaloundwa na visiwa vya Bioko na Annobon.
Mikoa mitano ni sehemu za Kanda la Rio Muni ambayo ni eneo la bara, pamoja na visiwa vidogo vilivyopo karibu na pwani.
Remove ads
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads