Mkoa wa Ardahan
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkoa wa Ardahan ni mkoa uliopo kaskazini-mashariki ya mbali huko nchini Uturuki. Mkoa huu upo mwishoni kabisa mwa nchi, ambapo kuna mpaka wa Uturuki na nchi ya Georgia .
Mji mkuu wake ni Ardahan.
Remove ads
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Ardahan umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads