Mkoa wa Bayburt
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Bayburt ni jina la kutaja mkoa uliopo mjini kaskazini-mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mji mkuu wake ni Bayburt. Idadi ya wakazi ni 85,455 na jumla ya eneo la kilomita za mraba ni 3,652.

Remove ads
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Bayburt umegawanyika katika wilaya 3 (mji mkuu umekoozeshwa):
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads