Mkoa wa Muş
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Muş (Kiarmenia: Մուշ Mush) ni jina la mkoa uliopo mjini mashariki mwa nchi ya Uturuki. Mkoa unachukua eneo la kilomita za mraba zipatazo 8,196, na wakazi takriban 488,997 (makisio ya 2006). Awali wakazi walikuwa 453,654 mnamo 2000. Aina kubwa ya wakazi wa hapa ni Wakurdi.[1] Mji mkuu wakeni ni Muş.
Remove ads
Wilaya za mkoani hapa
Mkoa wa Muş umegawanyika katika wilaya 6 (mji mkuu umekoozeshwa):
Marejeo
Viungo vya Nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads