Mkonge Dume
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mkonge dume au mkatani ni spishi ya mmea katika familia Asparagaceae unaokuzwa kwa ajili ya vitembwe vyake au katani.
Remove ads
Asili na uenezi
Mkonge dume una asili ya Meksiko lakini imesambazwa nchi nyingi za kitropiki kutokana na umuhimu wake wa kiuchumi, hasa zao la katani. Kuna mashamba makubwa kwenye kanda la pwani ya Afrika ya Mashariki. Kwa miaka mingi Tanzania iliongoza duniani katika zao hilo.
Picha
- Konde la mikonge dume Morogoro
- Shina la maua
- Maua
- Kuvuna makonge
- Katani
- Kamba ya katani
![]() |
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkonge Dume kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads