Mlima Longido
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mlima Longido ni mlima wenye asili ya volkeno kaskazini mwa Tanzania.
Mlima una kimo cha mita 2,556 juu ya usawa wa bahari.
Tazama pia
Tanbihi
Viungo vya nje
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads