Montabaur
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Montabaur ni mji mdogo na mji wa halmashauri ya wilaya ya Westerwald huko Rhine-Palatino, Ujerumani.



Montabaur ni mji ya halmashauri ya wilaya ya Westerwald na ya kata ya Montabaur pia. Montabaur ipo ardhi ya Westerwald na ukingo ya mto Gelbach. Montabaur ipo wilaya ya Westerwald na ardhi ya Westerwald pia. Ni halmashauri ya wilaya ya Westerwald na kata ya Montabaur pia. Kodi za posta ni 56410, kodi za simu ni 02602.
Remove ads
Viungo vya nje
- Tovuti rasmi ya mji Montabaur (Kijerumani)
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads