Monte Vettore

From Wikipedia, the free encyclopedia

Monte Vettore
Remove ads

Monte Vettore ni mlima wa Apenini katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Thumb
Mlima wa Monte Vettore

Urefu wake ni mita 2,476 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads