Monterrey, Nuevo León

From Wikipedia, the free encyclopedia

Monterrey, Nuevo León
Remove ads

Monterrey (montɛˈrei) ndiyo mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Nuevo León nchini Meksiko. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 1,133,814 wanaoishi katika mji huu. Eneo lake ni 860.70 km².

Ukweli wa haraka Nchi, Jimbo ...

Ni mji muhimu wa biashara na viwanda.

Mji uliundwa mwaka 1596.

Thumb
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Monterrey, Nuevo León kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Remove ads
Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads