Mpunga

From Wikipedia, the free encyclopedia

Mpunga
Remove ads

Mpunga ni aina ya mimea katika familia ya manyasi (Poaceae). Spishi kadhaa zinapandwa katika sehemu mbalimbali za dunia, lakini mpunga wa kiasia ni ile ya kawaida.

Maelezo zaidi Uainishaji wa kisayansi ...

Mpunga ni chanzo cha chakula kwa watu wengi duniani. Punje (mbegu) zake ni nafaka na huitwa mchele. Mchele uliopikwa ni wali.

Remove ads

Spishi

  • Oryza barthii, Mpunga-porini wa Afrika (African wild rice)
  • Oryza glaberrima, Mpunga wa Afrika (African rice)
  • Oryza longistaminata, Mpunga stameni-ndefu (Longstamen rice)
  • Oryza rufipogon, Mpunga mwekundu (Red rice)
  • Oryza sativa, Mpunga wa Asia (Asian rice)
  • Oryza nivara, Mpunga-porini wa Uhindi (Indian wild rice)

Picha

Loading related searches...

Wikiwand - on

Seamless Wikipedia browsing. On steroids.

Remove ads