Msamba
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Msamba (lat.-ing. Perineum) ni sehemu ya mwili wa kibinadamu kati ya uke na mkundu upande wa mwanamke au scrotum na mkundu upande wa mwanaume. Urefu wake kwa mtu mzima ni takriban inchi 1.


Ndani ya eneo la msamba kuna musuli a pekee zenye shughuli mbalimbali kwa ajili ya ngono na utoaji wa mkojo na kinyesi.
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads