Mteja
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mteja (wakati mwingine hujulikana kama mnunuzi) katika mauzo, biashara na uchumi, ndiye mpokeaji wa huduma, bidhaa, au wazo kutoka kwa muuzaji kupitia shughuli ya kifedha au ubadilishaji kwa pesa au jambo lingine muhimu.
Makala hii inahitaji vyanzo zaidi ili kuwezesha kuonyesha uthibitisho. |

Marejeo
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads