Mto Awash
From Wikipedia, the free encyclopedia
Remove ads
Mto Awash (kwa Kiamhara: አዋሽ; pia: Hawash, We'ayot, Webiga Dir) unapatikana nchini Ethiopia.
Hauishii baharini, ila katika mfululizo wa maziwa.
Upande wa chini wa bonde lake umeorodheshwa na UNESCO kati ya mahali pa Urithi wa Dunia.
Tazama pia
Tanbihi
Wikiwand - on
Seamless Wikipedia browsing. On steroids.
Remove ads